SWALI

Habar katika dalili zote nilizosoma ninazokumbana nazo mm ni kujisaidia kinyesi laini ,kujamba mara kwa mara ,kuhisi kwenda haja kubwa ukienda unajamba tu, kichwa kuuma ,na paja kuuma mm nitakuwa na shida Gani maana napata maumivu tumboni upande wa kulia

Swali No. 452


JIBU
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 452 )

Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 23-02-2023-05:22:02 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA