Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Wenye madonda yatumbo wana ruhusiwa kutumia matunda gan ya vitamin C?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 682
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Kama mayai yapo machache hayakomai uwezo wa kubeba mimba utakuwepo au
Niliona tarehe 5 mwez w kwanza ila tarehe 24 zlikua zmetoka kdgo zenye rang fulan nitofauti kabisa naperiod y kawaida ad najckia aja ndg marakwamara uchovu ucngizi marakwamara na mapgo ya moyo yanaenda kwa kasi sana sanasna nmkitoka kula cjui nn shda
Jemapigo ya moyo kwa mimba changa yanaweza kubadilika ndani ya wiki moja
Mm nina swali nina skia sehemu ya matiti kama vile kichomi maka vitu vina tembea tembea sijui nini na nime pima mimba kama mala mbili sina sasa shida nini yani nina kosa laa Chuchu azi umi lakini nina skia kama vitu vina tembea tembea kwenye matiti ni saidie
Nlikuw nnaswali vidonda vya tumbo pia vn virusi
Samahani naomba kuuliza nimeingia pireod mwezi wa kwanza na mpaka sahivi sijaingia na mimi ni mama nae nyonyesha je naweza kuwa na mimba au vip