Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Naomba msaada wa vyakula vinavyo paswa kuliwa na mtoto wakati wa asubuhi
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1014
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari zauzima waheshimiwa Mimi swali langu nikuhusu dawa na matibabu ya sekoseri napenda kufaham, kujua na kuweza kusaidia Jami yangu uliyo nizunguka na taifa kiujumla
Je presha usababisha kuko joa mara kwa mara
Habari ya saizi,nimesoma vizr ujumbe wenu nanimeuelewa lkn mm naona dalili ya ukurutu mwilin mwangu ambao cjawah kupata toka nazaliwa yni na niliwahi kuwa napunye miaka minne iliyopita nimetumia kila dawa punye cjapona je punye Hilo inaweza ikawa dalili ya vvu?
Dawa ya benpham kwa mtoto wa mwaka 1na nusu anaweza tumia anadalili zote za minyoo
Baada ya tendo nakuwa napata maumivu makali tumboni tumbo linakua kama limejaa gesi na gesi hiyo inanisumbua Sana Kwa MDA mrefu hata week na maweek na pia maumivu kiunoni
Mama mjamzito anatakiwa kufanya mapenzi mpaka miezi mingapi