Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Hv ukiwa unatumia dawa ya salbuta inaweza sababisha milio sikioni
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 312
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Hivi kw mfano tupu mbili zikakutana ya kike na yakiume lkn ile ya kiume ikawa haijazama ndani yaani namaanisha imeekeshwa tu kweny uke bila kuzama ndani ule uume je panauwezekano wa kupata mimba
Muda wa kujifungua umefika na Kuna dalili za damu ukeni je no dalili moja wapo ya uchungu
Hai jaman minashida yani nateseka fangas uken vidonda kwenye mashavu afu vinawasha nitumie dawa gan
Kutokwa na uchafu wenye harufu sehem za Siri na kukosa uteute kipindi Cha harari ni dalili za ugumba??
kuna ukweli gani kuwa mtu mwenye damu yenye wesi sana anaweza kuwa na maambukizi ya VVU?
Je dalili za vidonda vya tumbo sugu ni zipi