SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #574 02-03-2023 07:51:11

<p>Nifanyeje ili mimba ikue haraka</p>

JIBU

Mimba inakuwa yenyewe huna cha kufanya. Ili mtoto akue na afya njema ruka kuwa na stress mara kwa mara. Jaribu kuwa na furaha. Kula vizuri matunda, mbogamboga na vyakula vya protini kama samaki,  mayai na nyama.

MASWALI YANAYOFANANA