Swali #297
13-02-2023 03:03:18
<p>Ni kwamba tumbo linaniuma kwa Chini na Nina kojoa Mara kwa Mara lkn tulifany siku ya kwanz wakat natoka kwenye siku zangu je nayo ni dalili ya mimba au ni hofu ndy imenitawala</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 297