Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Na mtu ambae anatumia ARV kumuambukiza ambae Hana uwa aiwezekani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 583
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari ya asubuhi? Nimesoma dondoo yako. Swali langu.. Huwo ugonjwa wa kikohozi na mafua ikiwa yanasumbua kwa mda mrefu yapata miezi mi wili. Je, ni dalili moja wapo ya ugonjwa wa ukimwi?
Mm nililamba uchi wa mwanamke na ikanitokea mdomo kuwa Meusi na kupasuka pembeni mwa mdomo
Mwanamke anapotalikiwa yapaswa kwake kufanya nini na kutofanya nini
Mama anae nyonyesha mtot mwisho miez ngap haruhusiwi kunyonyesha tena ?
Je kama umeingia trh 12 ya mwez wa 1 nitajueje siku zangu sipl
Mimi baada ya kufanya mapenz na mwanamke anayesemekena ana ukimwi baada ya wiki 2 nilienda kupima na sikukutwa na maambukizi ya ukimwi lakini saivi nasikia maumivu ya misuli hasa kwenye goti la kushoto