SWALI

Samahani tarehe 11 mwenz 12 nili toka na damu nyeusi sana na damu mabonge mabonge zili toka siku tatu zikakata nikaja tena kutoka na damu tarehe 8 ya mwenz wa kwanza zili toka siku tano

 

Sasa Jana tena damu hime aza kutoka tena tatizo nini naomba nisaidie na nina taka mtoto

Swali No. 154


JIBU
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 154 )

Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 02-02-2023-08:07:16 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA