Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Hi,Kwa nini chuchu zangu ziko na uchungu Na zinatoka damu
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 898
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mama anae nyonyesha mtot mwisho miez ngap haruhusiwi kunyonyesha tena ?
Hello napenda kuuliza dalili za mwishoni kabisa za mama mjamzito kujifingua
Mm na mwashoo wa macho kila siku piaa yanaonekan ni dhaif San jee! Ni dalili ya nn??
nina miaka 31 ni mwanamke pia nauliza mimi ni mjamzito ila napata maumiv sana juu ya tumbo piamwili unachoka sana na najihisi vibaya wakat wote
Habari Doctor pole na majukumu,nna tatizo la kuumwa chini ya kitovu uume unawasha kwa ndani na nikikojoa mkojo unanuka then unatoka na vitu vyeupe vyeupe ukiwa na rangi ya njano lkn nimeenda kupima UTI nikaambiwa sina naomba ushauri Doctor
Na dalili zifuatazo tumbo kujaa ges alaf wakati wa kucheua napata shida njaa mda wote naomba msaada