SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #953 31-03-2023 07:42:01

<p>Mimi baada ya kufanya mapenz na mwanamke anayesemekena ana ukimwi baada ya wiki 2 nilienda kupima na sikukutwa na maambukizi ya ukimwi lakini saivi nasikia maumivu ya misuli hasa kwenye goti la kushoto</p>

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.

Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 953

MASWALI YANAYOFANANA