SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #629 06-03-2023 13:51:42

<p>Kuna madhara gani ninapotumia dawa za uzazi wa mpango yaani kuzuia mimba</p>

JIBU

Dawa za uzazi wa mpango kama zina madhara yanaweza kuwa haya
1. Kubadilika kwa siku zako
2. Kuongezeka kwa Majimaji ukeni
3
 Kichefuchefu
4. Maumivu ya tumbo
5. Kukosa hamu ya tendo


Hayo ni madhara kwa ujumla ya dawa za uzazi. Ila hutokea mara chache pia hutegemea na mtu. 


Sio wote wanapata hali hizo.

MASWALI YANAYOFANANA