Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Dalili za kichwa kuuma na kizungu zungu zina ashilia nn
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 496
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Na je siku za hatari kwa mwanamke kupata ujauzito ni hizo nane tu? Ikiwa alipata hedhi tare 1 na kuanzia tarehe 11 Hadi 18 ndizo hatari?
Niko na vitu kama upele kwa makwapa je shida inaeza kua nini
Habar docktor samahani gome la mwembe nasukutulia au nakunywa???
Mm nimjamzito wa miezi 6 kasoro lakini ninaahida napata maumivu ya nyonga,kiuno na uke unakuwa unavuta na maumivu
Nimekosa hedhi yangu mwezi w tatu hadi sasa sijauwona nilipimaa mwezi huuu sijaona mimba na maumivu ya tumbo nayasikiaa na sijawahi kufanya bila kinga
Ikiwa naanza siku za hatari nakuwa na joto sana mpaka siku za period nyingne ya mwezi ujao hii inakuwa ni nn? Maaana naweza kuhis Nina mimba lakin hatima yake naingia period hii ni tatizo?