Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nataka mafunzo ya swala ya ijumaa
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 595
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mana kunamtu ameniambia kua maiti anamashid sijamuelewa ndoman nimewauliza nyie kama wapo niwajue
Asalam aleyikum warahmatullah wabarakatuh swali langu ni hivi mimi nimeolewa miaka 8 iyopita ila mwaka juzi mwezi12 Allah akanitahin nimepatatihani wa maradhi ya ganzi yamepelekea kutokutembea mama zamani,mume wangu ameniuguza mpaka mwezi wa 7 mwaka jana akanitelekeza yani aniudumii mimi wala mtoto na nikimpigia simu anaongea hovyo tu nimeamua kumdai talaka ataki kunipa lakini hivi karibuni ameniatamkia maneno Machafu kua ataki kunipa talaka kwakua ajawahi kunioa na ajanopenda hata siku1 mimi nikampiga mshenga na shahidi nao wakajaribu kizungumza nae akawakatia Simu swalilngu je,naweza kujivua kwenye ndoa hii?au nifanyeje mpaka nipate haki yangu ya talaka
Assalam alaykum shekhe Nina swali" Zaka ya wanyama inakuwa Kila kweñye ng'ommbe wangapi mtu anapaswa kutoa Zaka?
Swali langu ni... Tunafahamu kuwa mtu anapotaka kuoa,lazima awe na mashahidi wke wawili. Sa nauliza hawa mashahidi inaruhusika mtu kueka brother wake ama ni awe mtu mwenye hawahusiani naye...?
Eleza kwa muhtasari kwa nni waislamu ktk jamii yako hawafikii lengo la kwao pamoja.na kutekeleza ibada maalum
Je? Kwa mtu ambaye amevunja kiapo anatakiwa kuwalisha maskini kumi chakula cha katikati anachowalisha watu wa nyumbani kwenu. Sasa swali langu chakula cha katikati kiasi gani na anatakiwa apeleke kwa muda gani?