Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Naomba nifundishwe jinsi yakunuwia swala ya ijumaa
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 61
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Assalamualaikum napenda kuhuliza kwenda kwa mganga kuchukua dawa ambayo sio ya kumzulu mtu niya matibabu tu je ni sawa
Je mtu akitokwa na upepo yaani kujamba je lazima kutawadha kwanza ndo ashike udhu??
Nataka kujua nini mtazamo wa kikafiri juu ya dini
Nataman kujua Jins ya kujitwaharish kujua kuswali na kusoma Quan je unanisaidiaj?
Naomba kama app inaweza kunipa mawaidha ya audio niambieni Barakallahu fikum
Je kula chakula ni ibada Au ni ada