Pata jibu kamili kuhusu swali lako
kutokwa na uteute mweupe kwa mwanaume haiwezi kuwa dalili ya UTI
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 282
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Samahani nawezaje kujua week za ujauzito
Siku za kupata p zimesha pita huwa napata tarehe 26 ila adi ss sija pata na tumbo lina niumaa km la p vle ttz nn ila dam haitoki
Naomba kujua shubiri nini.ambayo mgonjwa wa vidonda vya tumbo anaweza kutumia?
Kwanini mjam mzito wamwezi mmoja mbavu zina mbana namaziwa yamejaha yote n a chuchu zina Uma naku washa
Je hizo dalili za HIV za mwanzo zinaweza ziconekan mwakaa mzimaa tangia ile cku ulio toka kubamiana na mtuu
Naomba kuuliza mwezi wa 2 trh 14 nili sex na mtu mwenye ukimwi trh 15 nikaenda hospital nikapewa pepu nimetumia pepu na Leo ni siku ya mwisho nimalize dozi ila toka juzi Kuna dalili zinajitokeza Kama homa kichwa kuuma maumivu kwenye Koo samahani naweza nikawa nimeasilika