Swali #783
18-03-2023 09:35:59
<p>Samahani, mm na mwezi mmoja na siku kama 5 toka nikutane na mwanaume. Cjaona siku zangu na ilitakiwa nizione tangu mwez wa pili 23 ... Najiskia ovyoovyo tu tumbo linauma na naharisha je nwaza kuwa na mimba?</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 783