SWALI

Je dalili ya tumbo kunguruma ni dalili za mimba

Swali No. 349
JIBU

Huwenda ila sio lazima iwe mimba inaweza pia ikawa ni machafuko wa tumbo,  ama mabadiliko ya homoni,  ama dalili za kuingia periodKumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 16-02-2023-13:22:41 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA