Pata jibu kamili kuhusu swali lako
ni sababu Gani wengine hawapat mimbaa na inasababishw na nini
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1122
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Na jihisi kichefuchefu na ubongo kuhuma na mwilini moto na shingo kuhuma pia, Naomba unisaidi baba
Doctor habari, samahani Mie Kuna kitu kimeniahtua sijui ninttizo au maumbile sielew, kwenye uke wangu sehemu ya kinembe sijui ndo kinena Kuna kinyama kimetoka yaan Kama kimegawanyika katikati alafu upande mmoja wa kushoto ndo Kama umetoka kinyama Sasa sielew Nini nini
nasumbuliwa na maumivu makali sana upande wa chini kushoto wa tumbo yanayopelekea nahisi kama mmeng'enyo na kuwaka moto sana .
Vilevile Katika UKE natokwa na majimaji yenye harufu mbaya na ute wa rangi ya njano maziwa hv.
Sijajua tatizo ni Nini haswa na nawezaje kupata matibabu ya matatizo haya , nikapona kabisaa
Je kucha hubadilika rangi na kuwa rangi ni dalili ya ukimwi?
Tangawizi inakatazwa kwa mwenye vidonda vya tumbo?
Habar naomba kuuliza kuharisha kwa zaid ya wiki mbili lakini kwa muda maalum ni dalili ya ugonjwa gani