Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je p2 inaweza kushindwa kufanya kazi?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1271
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Na wiki 36 ya ujauzito ila nasiku kama tano hivi na halisha na tumbo kuuma je niuchungu
Jee mwanamke anayewashwa kwenye ukee.na yuko wiki ya 37 ni dalili za kujifungua?
Mimi nilikua na shida ni muhanga kutafta mtoto nilipima nikaambiwa na pld nimetumia dawa nimemaliza pia nilingia p talehe22 mwezi2 mzunguko wanguni28 Hadi leo nina siku kumi na tano chakushangaza nasikia maumivu ya tumbo chini Kama visindano na usingiz pia gesi tumboni na maji maji yanatokea lakini hayana harufu je shida yaweza kua Nini hapo
Ni nini kinachosababisha upungufu wa damu?
Mimi nimefnya mpzi baada ya siku tano nimeona dalili za mimb ila baada ya wiki moja nimepima sina mimb ila nipo na dalili hadi sasa inakuwa nini
Habari mimi naomba kuuliza nikila chakula tumbo linachafuka, muda ule naanza kuharisha