Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nauliza ni dalilizipi mwanaume znaweza kumfanya ashindwe kutunga mimba
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 524
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari za muda huu. Naomba kuuliza. Mimi nasumbuliwa na tumbo Tarehe za Hedhi zinapishana mpaka miezi yapishana mwezi naona mwezi sioni nanikiona napata maumivu makali sana pia ujauzito aupatikani na sijaweka kinga yapata miaka miwili sasa lakini amna ujauzito. Ni ilo tu mkuu
Hi..dalili ya kukohoa zaid ya wk mbili kwa mwenye kifua kikuu husababisha na nn
mimi naona navidonda vya tumbo ila mbna mwili unaniwasha na kutoka vipele mwilin pamoja na mugongo kuuma naomb msada wako
Naomba unisaidie nashida moja kweny koo nikila pipi au k2 chochote chenye sukar naskia kooo linakaauka itakuwa ni shida ya nn
Dawa inayo zuia chango linalo toa mimba ni nini?
Je Kama unaskia muwasho tu sehm za sir nayenyew n dalili za ukwimw