SWALI:

Ugonjwa wa kisukari unaweza kutibika?

Swali No. 1302




JIBUHapana, kisukari hakiwezi kutibika, lakini kinaweza kudhibitiwa kupitia lishe bora, dawa, na mazoezi.



Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 24-01-2023-08:28:50 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp






MASWALI YANAYOFANANA