Pata jibu kamili kuhusu swali lako
hello habr naitaji kitabu cha ukombozi wa fikra
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 15
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari nina tatizo la kiungulia
Habari za kazi mkuu,ninalo swali kuhusu vitamin,k,inafanya kazi gani kwa mwili wabinadam
Na kukojoa mkojo utoki araka na unajiskia uko na mkojo inawesa kuwa mtu ako na mimba!?
Fangasi wa uume unatibuje kwa mafuta ya nazi na ni yep yanafananaje
Je kama umetoka kwenye siku za hedhi na hedhi hiyo ni siku tano halafu siku ya sita mtu akashiriki tendo la ndoa je mtu huyo anaweza pata ujauzito??
Nina swali mutu kuwa na mate machungu ndani ya miezi 6 ni dalil yq ukimwi?