Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ukiwa unanyonyesha utajua aje uko mjamzito
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1071
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Niliingia hedhi kwa mwez mara mbili ndipo nilipenda kupiga utra sounds nikapewa dawa za wk 2 akasema hayo maji yanasababishwa na PID sasa dawa zimeisha leo bado anasema mayai yapo vzr ila kuna maji
Na hajanipa dawa kasema nikae baada ya wk 3 niende tena
Habari yako Dr, Napenda kuliza swali mm ni mtoto wakike ninatatizo la vitu kunitembea chini ya tumbo nikiwa nimetulia nikiwa na maana chini ya kitovu vinaenda kulia na kushoto pia mdomo kunikauka nidalili gani?
Nnamchumba wangu nampenda sana lakn Kwa bahat mbaya nmebeba mimba ya mwanaume mwingine nifanyeje
Matunda gani yanayo ongeza damu kwa haraka?
Shida yangu je matiti yangu yananinyima Raha kabisa yaani sipendi kuvaa brazia kwa mda mrefu Ila kutokana na ukubwa wake inanilazimu nivae tu pindi navyoamka naomba Kama Kuna dawa ambayo inaweza kunisaidia bila madhara ,,sijaolewa bado Wala sijazaa
Chanzo cha presha Ni nini