SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #266 11-02-2023 03:10:15
Question Icon

Asalam aleyikum warahmatullah wabarakatuh                            swali langu ni hivi mimi nimeolewa miaka 8 iyopita ila mwaka juzi mwezi12 Allah akanitahin nimepatatihani wa maradhi ya ganzi yamepelekea kutokutembea mama zamani,mume wangu ameniuguza mpaka mwezi wa 7 mwaka jana akanitelekeza yani aniudumii mimi wala mtoto na nikimpigia simu anaongea hovyo tu nimeamua kumdai talaka ataki kunipa lakini hivi karibuni ameniatamkia maneno Machafu kua ataki kunipa talaka kwakua ajawahi kunioa na ajanopenda hata siku1 mimi nikampiga mshenga na shahidi nao wakajaribu kizungumza nae akawakatia Simu  swalilngu je,naweza kujivua kwenye ndoa hii?au nifanyeje mpaka nipate haki yangu ya talaka

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 266

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi