Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Asalam alykum nikuwa nauliza ety vifungu vya faradhi ni vingapi?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 915
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Assalaam a'laykum warahmatullãhi wabarakaatuh! Shaikh nauliza; ivi inawezekana mke kuslimu na kufunga ndoa ya kiislam siku hiyo?hiyo
Napenda kuelewa kuhusu mke Kam nimeishi nae mwezi 1. Na kupeana taraka Mali tutagawanaje au hakuna Cha kugawana
Assalamu alaikum je mwanamke kadai talaka naakainunua baadae akataka kurewa je rejea ipo nakama ipo kuhusu mahari je
Naomba kuliza Kama mke yupo mbali kumrejea mke alieachwa talaka moja kwa njia ya simu inafaa au haifai?
Jee nduguzake na Nabii YUSUFU walikua na mama mmoja au kila nduguye na mamake?
Naomba kama app inaweza kunipa mawaidha ya audio niambieni Barakallahu fikum