Posti hii inaonyesha kiufupi kabisa madhara ya minyoo kwenye mwili wa binadamu. Yafuatayo Ni madhara ya minyoo;
1. Kupungukiwa damu, hii ikiwezekana endapo minyoo itakuwa inakiuka rasilimali, vingeweza kufanya mwili kuwa imara na uweze kutengeneza damu.
2. Udhaifu wa mwili
2. Kuungua uzito
3. Kukonda
4. Maradhi ya ini na akili
5. Miwasho
6. Maumivu ya tumbo
7.kutapika
8.kukosa hamu ya kula au kula Sana kupita kiasi
Mwisho; madhara ya minyoo hutokea minyoo wakizidi hivyo Ni vyema mtu kutumia dawa za minyoo Kila baada ya miezi 6 ili kuilinda afya yako.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
SABABU ZA KUTOKEA KWA VIDONDA VYA TUMBO Sababu za kawaida za vidonda vya tumbo ni maambukizo na bakteria Helicobacter pylori (H.
Soma Zaidi...Malaria inaweza kumpata mtu yeyote bila ya kujali mri.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye uume, maambukizi hata utokea kwenye kichwa Cha uume kwa kitaalamu huitwa Balanitis, zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa ugonjwa huu.
Soma Zaidi...Zijuwe sababu kuu zinazokufanya ukahisi maumivu makali ya tumbo kwa chini upande wa kushoto
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Mapacha walioungana ni watoto wawili wanaozaliwa wakiwa wameunganishwa kimwili. Mapacha walioungana hukua wakati kiinitete cha mapema kinapojitenga na kuunda watu wawili. Ingawa vijusi viwili vitakua kutoka kwa kiinitete hiki, wataendelea kushikamana mar
Soma Zaidi...Baada ya kujifungua mwili wa mwanamke huwa na mabadiliko tofauti na siku za nyuma. Kwa mfano hatapatavtena hedhi, hatoweza kupata ujauzito kwa muda wa mwezi ama zaidi. Endelea na post hii ujifunze zaidi
Soma Zaidi...