Post hii inahusu zaidi madhara ambayo tunaweza kuyapata katika matumizi ya toilet paper au tisu kwenye sehemu za siri.
1. Kwanza kabisa tunafahamu kwamba unapotumia toilet paper hasa wakati wa haja ndogo baadhi ya vikaratasi vidogo vidogo ambavyo haviwezi kuonekana ujishikiza kwenye sehemu za siri na kusababisha au kwenye mashavu ya uke na kukaa hapo .
2. Baada ya vipande vidogo vidogo vya toilet paper kujishikiza usababisha kuwepo kwa uchafu kwenye mashavu ya uke na kusababisha hali ya kuzalisha fungasi na bakteria kwenye uke.
3. Hao bakteria na fungi ambao uzaliwa usababisha maambukizi kwenye uke hasa pale usafi husipofanyika vizuri kwenye sehemu za siri.
4. Maambukizi hayo yanayosababishwa na bakteria na fungusi usababisha miwasho kwenye sehemu mbalimbali za siri na wakati mwingine kuhisi kuna vitu vina choma choma kwenye sehemu za siri.
5.kwa hiyo hali kama hiyo Usababisha kuwepo kwa harufu mbaya kwenye uke na pengine mtu anaweza kujua kwamba ni magonjwa mbalimbali ya zinaa kama vile kaswende na kisonono, kumbe ni matumizi mabaya ya toilet paper na tisu nyingine.
6. Kwa hiyo tunapaswa kutumia maji safi na sabuni baada ya haja ndogo ili kuweza kuepuka hali ya kuwepo kwa Maambukizi mbalimbali kwenye uke, kwa hiyo akina mama ni wakati wa kujifanyia usafi ili kuondokana na tatizo hili la kuwepo kwa Maambukizi kwenye sehemu za siri.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa nguo za upasuaji, tunajua wazi kuwa, wakati wa upasuaji tunapaswa kusafisha chumba na mazingira yake lengo ni kuhakikisha kuwa tunazuia wadudu wasisambae au kuingia kwenye mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...