Juhudi za Waislamu Katika Kuhuisha Harakati za Kiislamu Zama za Nyerere hadi leo

i.

Juhudi za Waislamu Katika Kuhuisha Harakati za Kiislamu Zama za Nyerere hadi leo

Juhudi za Waislamu Katika Kuhuisha Harakati za Kiislamu Zama za Nyerere hadi leo

i. Wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere waislamu walianzisha Taasisi na Jumuiya mbali mbali za Kiislamu kama vile; Baraza Kuu la Taasisi na Jumuiya za Kiislamu, African Muslim Agency, Al-Haramain, Islamic Foundation, Islamic Propagation Centre (IPC), Munadhwamat Da’awah, n.k.




ii. Taasisi mbali mbali za Kiislamu kati ya miaka ya 1989 hadi 1992 zilianzisha mashule kama vile; Mudio Islamic Seminaries, Ubungo Islamic High School, Kirinjiko Islamic High School, Kunduchi na Ununio Secondary Schools na zinginezo.




iii. Kulianzishwa vyuo vya Ualimu vya Kiislamu kwa ngazi za cheti na stashahada kama vile; Al-Haramain Islamic Teachers’ College - 1987, Ubungo Teachers’ College - 1998, Kirinjiko Teachers’ College - 2004 na vinginevyo vilivyojitokeza baadae.




iv. Mwaka 2005, Taasisi ya Muslim Development Foundation (MDF) ilianzisha Chuo Kikuu Cha Waislamu Morogoro, Muslim University of Morogoro (MUM) kama chuo pekee kikombozi kwa jamii ya waislamu Tanzania.



v. Hadi leo hii, Taasisi na shule nyingi za Kiislamu za chekechea, msingi na sekondari pamoja na vyuo zinaendelea kuibuka, nyingi zikiwa na lengo la kutoa elimu Sahihi ya Mwongozo na ya Mazingira kama nyenzo pekee ya kusimamisha Uislamu katika jamii.





                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Sira Main: Dini File: Download PDF Views 1165

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game    👉2 web hosting    👉3 Kitabu cha Afya    👉4 Madrasa kiganjani    👉5 kitabu cha Simulizi    👉6 Dua za Mitume na Manabii   

Post zinazofanana:

Historia ya Watoto Wawili wa Nabii Adam

“Na wasomee khabari za watoto wawili wa Adam kwa kweli, walipotoa sadaka, ikakubaliwa ya mmoja wao na ya mwingine haikukubaliwa Akasema (yule asiyekubaliwa sadaka yake): “Nitakuua”.

Soma Zaidi...
Mafunzo Yatokanayo na Historia ya Hud(a.s)

(i) Tuanze kulingania kwa kuonesha upweke wa Allah(s.

Soma Zaidi...
Historia ya bi Khadija na familia yake na chanzo cha utajiri wake.

Sira na historia ya Mtume Muhammad s.a.w, sehemu ya 17. Historia ya Bi Khadija na familia yake.

Soma Zaidi...