Zoezi - 3:0


1.Imani ni2.Pamoja na kudai kwao kuwa ni waumini Allah (s.w) anawakatalia.
“Na katika watu wako wasemao, “Tumemuamini Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho na hali ya kuwa wao si wenye kuamini ...” (2:8)
Allah (s.w) anawakatalia kwa sababu3.Orodhesha sifa za waumini wa kweli kama zilivyoainishwa katika Qur-an (8:2-4) na (49:15).4.Orodhesha sifa za waumini kama zilivyo ainishwa katika aya zifu atazo:
(a)Suratul-Muuminuun (23:1-11)
(b)Suratul-Furqaan (25:63-76)5.Imani ya Kiislamu imejengwa juu ya nguzo sita. Zitaje zote. Kwa mpangilio.