Zoezi - 2


1.(a) Maana ya dini kwa mtazamo wa Makafiri ni
(b) Maana ya dini kwa mtazamo wa Uislamu ni2.Katika kuishi hapa duniani watu wamegawanyika makundi makubwa mawili:
(i)
(ii)3.Kwa mtazamo wa Uislamu hakuna mtu anayeishi bila ya kufuata dini moja au nyingine kwa sababu :4. Uislamu ndio dini pekee sababu tano zifuatazo:
(i)
(ii)
(iii)
(iv)
(v)
(vi)
(vii) inayostahiki kufuatwa na watu kwa5.Kwanini Mwanadamu hawezi kuunda mfumo wa maisha utakao watendea haki na uadilifu walimwengu wote?
***************************************