Chemsha bongo 10

imageimage
7.Tujikumbushe kidogo na hii
Mtu mmoja alikuwa akitokea shmba. Kwa bahati mbaya mvua kubwa akamnyeshea. Akiwa hana mwavuli wala jacketi ama kiti chochote cha kumkinga na mvua. Hivyo alitota sana. Jambo la kushangaza alitota mwili mzima lakini hata nywele yake moja kichwani haikutota. Unadhani inawezekanaje?


Jibu
Kwa sababu alikuwa na kipara.