Posti hii inaelezea kuhusiana na hatua za kufata ili kujikinga au kuepuka maradhi ya tumbo.kuna vitu vikikosekana husababisha maumivu ya tumbo.
Zifuatazo Ni dalili za tumbo kuuma.
1.maumivu.
2.kuharisha.
3.kichefuchefu na kutapika.
4.kukosa choo.
Zifuatazo Ni hatua za kufata ili kuepuka maradhi ya tumbo.
1.chemsha maji ya kunywa ili kuua vijidudu ambavyo vinaweza kukusababishia kichefuchefu, kutapika, Kuharisha vilevile tumbo kuuma.
2.Epuka uvutaji wa sigara, ugoro, mirungi au tumbaku kwasababu hupelekea kupata madonda ya tumbo na maradhi mengine mbalimbali.
3.Epuka matumizi ya pombe ikiwezekana acha kabisa
4.osha mikono yako na sabuni kila baada na kabla ya kula na baada ya kutoka msalani.
5.Epuka matumizi ya chumvi nyingi Sana kwenye chakula Tena hasa chumvi ya kuongezea kwenye chakula ambacho Ni tayari kimeiva kimeshatengwa mezani hiyo Ni mbaya Sana.
6.Epuka matumizi ya sukari nyingi mwilini.
7.Jitahidi kupata au kula mboga za majani na matunda maana husaidia kulainisha mmeng'enyo wa chakula na kumsaidia kuboresha afya ya mwili..
8.Epuka kula vyakula vilivyokobolewa Mara kwa Mara.
9.pata muda wa kufanya mazoezi ili kujenga mwili.
10.Jitahidi kupata maji kwa wingi maana husaidia kuyeyusha mmeng'enyo wa chakula.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali ambazo zinaweza kutumika ili kuweza kuepuka Ugonjwa wa raundi.
Soma Zaidi...Katika makala hii utakwenda kuzijuwa baadhi ya dalili za ukimwi ama HIV kwa mwanamke
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi watu walio kwenye hatari ya kupata UTI, ni watu ambao wako kwenye hatari ya kupata ugonjwa wa UTI kwa sababu ya mazingira mbalimbali kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kupambana na kisukari
Soma Zaidi...Dalili za HIV na UKIMWI kwenye mdomo na ulimi utaziomna hapa. hizi zinaweza kuwa ndio za kwanza kwa ambaye hajapima HIV
Soma Zaidi...Saratani inahusu ugonjwa wowote kati ya idadi kubwa ya magonjwa ambayo yanaonyeshwa na ukuaji wa seli zisizo za kawaida ambazo hugawanyika bila kudhibitiwa na kuwa na uwezo wa kupenya na kuharibu tishu za kawaida za mwili. Saratani mara nyingi ina uwezo
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanawake
Soma Zaidi...