Posti hii inahusu zaidi dalili za maambukizi kwenye ovari, ni maambukizi ambayo hutokea kwenye ovari na kusababisha matatizo makubwa kama mgonjwa haujatibiwa mapema.
Dalili za maambukizi kwenye ovari
1. Maumivu makali chini yatumbo, hutokea kwa sababu ya kuwepo kwa bakteria ambao ushambulia sehemu ya ndani ya ovari.
2. Maumivu makali kwenye pelvis, kutokana n kuwepo kwa bakteria ndani ya ovari bakteria hawa ueneza sumu ambayo usababisha maumivu makali kwenye pelvis
3. Kutokwa damu ukeni, hii utokea kwa sababu ya kuwepo kwa majeraha ndani ya ovari ambayo huaribu sehemu mbalimbali za uzazi na Damu uonekana ukeni
4. Damu nzito uonekana wakati wa hedhi na yenye mabonge mabonge na pia utoka kwa mda mrefu isiyokuwa ya kawaida
5. Maumivu ya kichwa hutokea lakini sio kwa wote na pengine kwa sababu ya maambukizi Homa upanda
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya viungo vinavyoathiriwa na ugonjwa wa malaria
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo chini upande wa kushoto
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za presha ya kushuka
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha Dalili na ishara za kuvimba kope ambayo kitaalamu hujulikana Kama blepharitis.
Soma Zaidi...NENO LA AWALI Hapa utaweza kujifunza mambo mengi kuhusu vidonda vyatumbo.
Soma Zaidi...Kuharisha ni Hali ya kupitisha kinyesi Cha maji chenye damu au kisicho na damu
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha ishara na dalili za Saratani ya utumbo mdogo
Soma Zaidi...