RAJABU ATHUMAN BA.
RAJABU ATHUMAN
BA.ED UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM (UDSM)
Amezaliwa mnamo 1992, mkoani Tanga-Tanzania, ni mwalimu na pia ni muelimishaji
katika maswala ya afya na ushauri. tofauti ya kuwa mwalimu pia ana taaluma za
IT kama kutengeneza website, software na graphic design.
›Soma zaidi
SADAMU ABAS
BSWS UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM (UDSM)
Amezaliwa mnamo 1993, mkoani Pwani-Tanzania, ni mtaalamu katika IT, amesomma Bachelor of science with computer science.
Pia ni system developer, na mtaalamu wa kudisain graphics. Ni mtoaji wa ushauri
kuhusu teknolojia
›Soma zaidi
HASSANI ISA
NURSE FROM KIWOVAC NURSING TRAINING CENTRE
Amezaliwa mnamo 1992, mkoani Tanga-Tanzania, anataaluma ya Nursing na pia ni mtaalamu
katika kutunga na kughani mashairi. Ana mkanda mweusi wa gujuriew na ni mrukaji wa sarakasi. Ni mtoaji
ushauri katika afya na maradhi.
›Soma zaidi
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Nataka nikufundishe moja katika maajabu ya mdudu Buibui kwa lugha ya kimombo spider.
Soma Zaidi...Wikibongo inawatakia waislamu wote heri ya mfungo wa ramadhaji
Soma Zaidi...Karibu sana Kwenye Maktaba Yetu Sasa umefika kwenye maktaba ya vitabu.
Soma Zaidi...Kama wewe ni Muandishi mzuri za hadithi au makala za kutoa elimu kwa watu na unataka kazi yako iwafikie watu wengi, au unataka kazi yako iweze kukuingizia kipato, Bongoclass ndio mtatuzi wako sasa.
Soma Zaidi...