Jifunze namna ya kuswali, zijuwe aina za swala na ujifunze masharti ya swala, kwa nini swala hazijibiwi? nini kifanyike?
Swala ikiswaliwa ipasavyo humuepusha mwenye kuswali na mambo maovu, pia humueka karibu na Allah pamoja na kupata kheri nyingi zaidi.. Wengi katika wanaoswali leo hawatimizi lengo hili, swala hazitimii ama kuswaliwa vile ipasavyo. Hapa tumekuletea kitabu kinachotowa mafunzo ya swala bila ya mal;ipo.
Nyuma Endelea
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Post hii itakufundisha faida na umuhimu wa kijenga uchumi katika jamii ya kiislamu.
Hapa utajifunza kazi za benki.