عَنْ ابْنِ عُمَرَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم قَالَ: "أُمِرْتُ أَنْ أُقَاتِلَ النَّاسَ حَتَّى ?...
عَنْ ابْنِ عُمَرَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم قَالَ: "أُمِرْتُ أَنْ أُقَاتِلَ النَّاسَ حَتَّى يَشْهَدُوا أَنْ لَا إلَهَ إلَّا اللَّهُ وَأَنَّ مُحَمَّدًا رَسُولُ اللَّهِ، وَيُقِيمُوا الصَّلَاةَ، وَيُؤْتُوا الزَّكَاةَ؛ فَإِذَا فَعَلُوا ذَلِكَ عَصَمُوا مِنِّي دِمَاءَهُمْ وَأَمْوَالَهُمْ إلَّا بِحَقِّ الْإِسْلَامِ، وَحِسَابُهُمْ عَلَى اللَّهِ تَعَالَى" .
[رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ]
، [وَمُسْلِمٌ]
Kwa mapokezi ya Abdullah ibn Umar (ra):
Mjumbe wa Allaah (S.A.W) alisema, "nimeamriwa kupigana na watu hadi watakaposhuhudia kwamba hakuna mola anayestahili kuabudiwa isipokuwa Mwenyezi Mungu na kwamba Muhammad ndiye Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, na mpaka watakaposimamisha Salah na walipe zakat.
Na ikiwa watafanya hivyo basi watakuwa wamepata ulinzi kutoka kwangu kwa maisha yao na mali zao, isipokuwa [wakifanya vitendo ambavyo vinaadhibiwa] katika Uislamu, na hesabu yao itakuwa kwa Mwenyezi Mungu. "
[Bukhari & Muslim]
Umeionaje Makala hii.. ?
Post hii itakwenda kukugundisha masharti yanayofungamana na kukubaliwa kwa dua.
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukufundisha dua za kuomba wakati wa kuwa na maumivu kwenye mwili wako.
Soma Zaidi...Download kitabu Hiki Bofya hapa KUINGIA KWA WAGENI Amina na Sadie walimuonea huruma wakamuomba Zubeid amruhusu abakie.
Soma Zaidi...