MUDA WA KUCHAJI SIMU YAKO AMA MUDA WA KUCHAJI BETRI YAKO
Wwatu wengi wamekuwa wakijiuliza ni muda gani hasa inapasa kuchaji simu, je nisubiri mpaka chaji iishe kabisa, ama nichaji ikiwa na asilimia ngap?
MUDA WA KUCHAJI SIMU YAKO
Wwatu wengi wamekuwa wakijiuliza ni muda gani hasa inapasa kuchaji simu, je nisubiri mpaka chaji iishe kabisa, ama nichaji ikiwa na asilimia ngap?. maswali kama haya na yanayofanana nitakwenda kuyajibu katika makala hii.
Kikawaida betri inaweza kudumu kuwa hai kati ya miaka 5 mpaka 10. lakini uwezo wa betri hupungua kadri siku sinavyoendelea. Unaweza kudhibiti hali hii kwa kuwa makini na baadhi ya mambo kadhaa. Miongoni mwa mabo hayo ni kuwa makini na muda wa kuchaji.
Wataalamu wa teknolojia wanatueleza kuwa muda mzuri wa kuichaji betri ni pale itakapobakiwa na asilimia kati ya asilimia 50% na 90%. na hakikisha kuwa huichaji mpaka ifikapo 100%. ni vyema kama unataka ifike 100 basi angalau ufanye hivyo mara chache.
Sio vyema sana kuilaza kwenye chaja japo jambo hili halina madhara kwa simu za kisasa kwani zenyewe zina kifaa cha kuifanya isimame kuchaji pindi ikifapo asilimia 100% ya chaji.
Hakikisha betri yako haivi chini ya asilimia 40% na mbaya zaidi isifike asilimia 2% ama 0%. na kama unahitaji kuihifadhi betri yako basi ichaji angalau asilimia 40% kisha uihifadhi.
Kama unataka kutumia simu ikiwa chaji hakikisha unatumia chaja yake ama chaja original ya simu hisika, na epuka kutumia simu yako inapokuwa imoto. Na kama unailaza kwenye chaja hakikisha unaondoa vitu vyote vitakavyo sababisha iwe na moto kama kuiweka juu ya kitu kimoto kama deki.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 ai web app 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
Kujaa kwa memory au hard disc
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vitu vya kufanya endapo memory au hard disk itajaa
Soma Zaidi...Utajuaje Kama simu au kompyuta yako Ina virus
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kujua Kama simu yako ina virus
Soma Zaidi...Jinsi ya kutuma sms ndefu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kutuma sms ndefu
Soma Zaidi...Nini Chanzo
Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
Soma Zaidi...Utafanyaje ili blog yako ionekane Google, Big, Yandex ama yahoo?
Post hii inakwenda kukufundisha kwa ufupi jinsi ya kuifanya blog yako, ama post za kwenye blog yako ziweze kupatikana kwenye search Engine kama Google, Bong, yandex na yahoo.
Soma Zaidi...OCR
Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
Soma Zaidi...