Faida za kula Chungwa

Faida za kula Chungwa

Je unazijuwa faida za kula chungwa kiafya? soma makala hii hadi mwisho

Faida za kula Chungwa

9.Chungwa (orange).
Embe ni katika matunda maarufu sana duniani kote. chungwa lina kiwango kikubwa cha vitamini C na madini ya potassium (potashiam). Pia embe ni chanzo kizuri cha vitamini B kama vile thiamine na folate.

Katika chungwa. kuna vitu vingi ambavyo husaidia sana katika afya. Kama vile flavonoid, carotenoid na citric acid. Citric acid husaidia katika kupunguza uwezekano wa kuweza kupa kupata matatizo ya figo (kidney stones). Embe pia husaidia katika kuzuia kupata maradhi ya anaemia.


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 3568

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Simulizi za Hadithi Audio     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 Kitau cha Fiqh     👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    

Post zinazofanana:

Vyakula hatari kwa vidonda vya tumbo, na vyakula salama kwa vidonda vya tumbo

Makala hii inakwenda kufundisha vyakuna na vinjwaji salama anavyopaswa kutumia mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Pia utajifunza vyakula na vinywaji hatari kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo.

Soma Zaidi...
VYAKULA VYA MADINI

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

Soma Zaidi...
JITIBU KWA TANGAIZI: faida za kiafya za tangaizi

Tangaizi ni katika mimea yenye asili na bara la asia hususan nchi ya China.

Soma Zaidi...
Sababu za kuwa na fangasi ukeni

Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwa na fangasi ukeni, ni vitu ambavyo usababisha fangasi ukeni kama ifuayavyo.

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula samaki

Posti hii itakwenda kukupa faida za kula samaki kwenye mwili wako.

Soma Zaidi...
Faida za ubuyu

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ubuyu

Soma Zaidi...