KULA HALALI NA ZILICHO KIZURI NI AMRI KATIKA UISLAMU

' ' ' ' ' ' ': ' ' ' ' ' ' ' ' "' ' ' ' ' ' '...

KULA HALALI NA ZILICHO KIZURI NI AMRI KATIKA UISLAMU

HADITHI YA 10

' ' ' ' ' ' ': ' ' ' ' ' ' ' ' "' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ': "' ' ' ' ' ' ' '"' ' ': "' ' ' ' ' ' ' ' '" ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ': ' '! ' '! ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' '".
[' ']

Kwa mapokezi ya Abu Hurayrah (ra):
Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ((s.a.w)) Amesema, "Mwenyezi Mungu Mtukufu ni Mzuri na anakubali mambo mazuri (mema). Na hakika Mwenyezi Mungu amewaamrisha waumini kufanya yale ambayo Amewaamuru Mitume.

Kwani Mwenyezi Amesema: "Enyi Mitume! Kuleni kila vyakula vizurit [kila aina ya vyakula halal (kisheria)], na fanya matendo mema. "[23:51] na Mwenyezi Amesema:" Enyi mlio amini! Kuleni vitu vilivyo vizuri (halali) ambavyo tumekupeni.

Kisha akataja habari ya Mtu mmoja ambaye alikuwa yupo safarini, safari ndefu akiwa manywele yapo timtim amechafuka mavumbi akavyoosha mikono yake angani kuomba dua akisema "Ewe Bwana! Ee Mola! 'Wakati chakula chake ni haram (kisicho halali), kinywaji chake ni haram, mavazi yake ni haram, na amelelewa na chakula kilicho haram, kwa hivyo [dua yake] inawezaje kujibiwa? [Muslim]


                   



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 125


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Suluhu na kupatanisha kati ya mke na mume
Soma Zaidi...

tarekh 10
KULELEWA NA BABA YAKE MDOGOBaada ya kufariki kwa mzee huyu, kiongozi mkubwa wa maquraysh na makkah, kiongozi ambaye jeshi la Abrah liliangamizwa ndani ya utawala wake. Soma Zaidi...

Mafunzo Yatokanayo na Historia ya Nabii Sulaiman(a.s)
Kutokana na histoira ya Nabii Sulaiman (a. Soma Zaidi...

Kwa nini hakuna haja ya Mtume mwingine baada ya Muhammad
Na tukiutafiti Uislamu kwa makini kama mfumo kamili wa maisha tunaona unadhihiri ukweli wa aya hii ya Qur-an. Soma Zaidi...

Nini maana ya Uchoyo, na madhara yake kwenye jamii
31. Soma Zaidi...

Usimamizi wa Haki na haki za binadamu Katika Dola ya Kiislamu
Soma Zaidi...

hatma
Soma Zaidi...

DUA ZA WAKATI WA SHIDA
DUA ZA WAKATI WA SHIDA 1. Soma Zaidi...

HISTORIA YA NABII SALIH(A.S
Nabii Salih(a. Soma Zaidi...

KAZI ZA MALAIKA
Malaika wamepewa kazi ya kumtumikia Allah(SW) kwa kumtukuza na kumtakasa, kama wanavyosema wenyewe:Hakuna yoyote miongoni mwetu ila anapo mahali pake mahususi. Soma Zaidi...

Mtazamo na Msimamo wa Uislamu Juu ya Kudhibiti Uzaz (uzazi wa mpango) na hukumu yake
Soma Zaidi...

Masomo ya Dua na Faida zake Dua
Soma Dua mbalimbali hapa, Soma Zaidi...