picha

Chemsha bongo namba 20

17.

Chemsha bongo namba 20

Chemsha bongo 20

imageimage
17.John na Ngazi
John alikuwa akifanya kazi ya kupandisha mizigo juu. Alikuwa akkipanda kwa kutumia ngazi yenye urefu wa futi 24. Siku moja mvua ilinyesha hivyo ikawa ngazi inateleza sana.

Wakati anapanda kwa bahati mbaya akaanguka kutoka kwenye ngazi mpaka chini. Jambo la kushangaza hakuumia hata kidogo. Unadhani hii imewezekanaje?

Jibu
Ni kwa sababu alianguka kwenye kidato cha kwanza cha ngazi, naani chini kabisa.


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Chemshabongo Main: Post File: Download PDF Views 5385

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Dua za Mitume na Manabii     👉4 web hosting     👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉6 Kitau cha Fiqh    

Post zinazofanana:

SIRI

Baada ya kutulia vizuri unaanza kukumbuka umefikaje hapa kwenye misitu.

Soma Zaidi...