Chemsha bongo namba 13
23.
Chemsha bongo 13
![]()
![]()
23.Manywele
Kijana mmoja alikuwa na nyele ndefu pamoja na ndevu za wastani zilizo nyeusi sana. Kijana huyu alikuwa shevu kwa siku mara 10 mpaka 15. lakini bado alibakiwa kuwa na nyele ndefu na ndevu ndefu. Unadhani ni mtindo gani huwa anatumia?
Jibu
Ni kwa sababu huyu kijana ni kinyozi. Hushevu watu wengine.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Dua za Mitume na Manabii 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 web hosting 👉6 ai web app
👉1 Dua za Mitume na Manabii 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 web hosting 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
CHEMSHABONGO NA BONGOCLASS
Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...