Chemsha bongo namba 12

Chemsha bongo namba 12

8.

Chemsha bongo namba 12

Chemsha bongo 12

imageimage
8.Ni nani ana kosa?
Watu watatu walikuwa wanasubiri taa za barabarani ili wavuke. Mtu wa kwanza alikuwa anaendesha lori. Mtu wa pili alikuwa anaendesha pikipiki na wa tatu alikuwa anaendesha farasi.

Wote walikuwa wakisubiri taa ya kijani iwake ili wavuke. Dereva wa lovi akapiga honi kumshitua mtu wa mbele yake. Honi ile ikamshitua farasi. Farasi akamkumba muendesha pikipiki. Na kwa kuwa breki za pikipiki silikuwa mbovu pikipiki ikaingia katikati ya barabara na kukanyagwa na gari linalotoka upande mwingine.

Dereva wa pikipiki akafariki palepele. Unadhani nani alikuwa na kosa. Je! Ni alopiga honi, ama muendesha farasi ana dereva wa lori la upande mwingine ama ni nani?

Jibu
Dereva wa pikipiki ndiye mwenye makisa kwa kuenesha pikipiki ambayo breki zake ni mbovu.


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Chemshabongo Main: Post File: Download PDF Views: 2865

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Bongolite - Game zone - Play free game     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 ai web app     👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    

Post zinazofanana:

Chemsha bongo

learn English Vocabulary

Soma Zaidi...