Mafungu ya mirathi katika uislamu

Mafungu ya mirathi katika uislamu

Mafungu ya urithi yaliyotajwa katika haya sita yafutayo:1.

Mafungu ya mirathi katika uislamu

Mafungu ya urithi yaliyotajwa katika haya sita yafutayo:
1.Nusu (1/2)
2.Robo (1/4)
3.Thuluthi. (1/3)
4.Thuluthi mbili (2/3) 5.Sudusi. (1/6)
6.Thumuni (1/8)

Mwenye kupewa mafungu
Katika warithi kuna wenye kupata mafungu maalum katika hayo mafungu sita; na kuna wasiokuwa na mafungu maalum ambao hupata kilichobakia baada ya wenye mafungu kuchukua mafungu yao au kupata mali yote ikiwa hapana wenye mafungu. Wasio na mafungu huitwa asaba.
Wenye mafungu maalum katika urithi ni watu kumi na na mbili (12) wafuatao:


I .Baba.
2.Babu.
3.Binti. 4.Binti wa mtoto mwanamume (mjukuu).
5.Ndugu wa kwa mama.
6. Dada wa kwa baba na mama.
7.Dada wa kwa baba.
8.Dada wa kwa mama.
9.Mama.
1O.Bibi.
11.Mume.
12. Mke.



                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Fiqh Main: Post File: Download PDF Views: 3797

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 web hosting     👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉3 Bongolite - Game zone - Play free game     👉4 Kitau cha Fiqh     👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉6 Kitabu cha Afya    

Post zinazofanana:

Mambo yanayopunguza malipo ya funga au swaumu

Mambo haya yanaweza kuharibu funga ya mtu ama kupunguza malipo ya funga.

Soma Zaidi...
Masharti ya utoaji wa zakat na sadaqat

Nguzo za uislamu, masharti ya utoaji wa zakat na sadaqat (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...
Aina mbili za talaka zisizo na rejea katika uislamu

Huwezi kuruhusiwa kumrejea mke endapo utamuacha kwa talaka hizi mbili.

Soma Zaidi...
Tofauti kati ya hijjah na umrah

Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...