Maana ya shahada kama nguzo ya kwanza ya uislamu
4.
Maana ya shahada kama nguzo ya kwanza ya uislamu
4.1 Shahada.
Tafsiri na Maana ya Shahada.
- Shahada ya kwanza.
“Nashuhudia kuwa hapana Mola ila Allah”
Sifa (tabia) za mtu aliyetoa Shahada ya Kwanza Kiutendaji:
-Hatamtii yeyote katika maisha yake ya kila siku ila Allah peke yake.
-Hatamuogopa, hatamtegemea na hatamuomba yeyote ila Allah.
-Hatafuata mwongozo wowote ila ule wa Allah pekee.
-Hatamshirikisha Allah (s.w) kwa chochote kile.
-Atajipamba na sifa na tabia njema zilizoainishwa katika Qur’an na Sunnah.
- Shahada ya Pili.
“Nashuhudia kuwa Muhammad ni Mjumbe wa Allah”
Sifa (tabia) za mtu aliyetoa shahada ya Pili Kiutendaji:
- Kumtii Mtume (s.a.w) kwa kufuata aliyoagiza na kuacha aliyokataza.
- Kumuiga Mtume (s.a.w) katika mwenendo na tabia yake.
- Kumfanya Mtume (s.a.w) kuwa hakimu wa mambo yetu yote.
- Kuliendea lengo la kuletwa kwake la kuusimamisha Uislamu katika
jamii.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 Kitabu cha Afya 👉4 web hosting 👉5 ai web app 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Sanda ya mwanaume na namna ya kumkafini
Mambo ya faradh kwa maiti ya muislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Kwa nini lengo la kutoa zaka halifikiwi na watoaji zaka?
Kwa nini Lengo la Zakat na Sadaqat Halijafikiwa katika Jamii yetu?
Soma Zaidi...Jinsi ya kusherehekea siku ya idi katika uislamu
Uislamu umeweka taratibu maalumu za kuzifata katika kusherehekea siku ya idi.
Soma Zaidi...Mambo yanayopunguza malipo ya funga au swaumu
Mambo haya yanaweza kuharibu funga ya mtu ama kupunguza malipo ya funga.
Soma Zaidi...