image

Zijuwe suna (sunnah) za Udhu ama Kutawadha

Zijuwe suna (sunnah) za Udhu ama Kutawadha

Sunnah za UdhuMtume Muhammad (s.a.w) pamoja na kutekeleza nguzo za udhu alikuwa akiongezea yafuatayo wakati wa kutawadha;
1. Kupiga mswaki kabla ya kuanza kutawadha.


2.Kuanra kutawadha kwa kuosha vi~nja vya mikono na kuanza kitendo hicho kwe "BtsmUIaht"
3.Kusulcutua na kupandisha mail puani.
4.Kupaka maji shingoni wakati wa kupaka maji kichwani.
5.Kuosha mao mare to beads ya kupaka maji kichwani.
6.Kuosha Iola kiungo cha udhu mare tatu.
7.Kuanza kuosha viungo vya kulia (lcuanza na mkono na mguu wa kuW.
8.Kuelekea Qibla na kuleta dua beads ya kutawadha ifuatayo:


(عن عمر بن الخطاب رضي الله عنه أن النبي صلى الله عليه وسلم قال: ما منكم من أحد يتوضأ فيسبغ الوضوء ثم يقول أشهد أن لا إله إلا الله وحده لا شريك له وأشهد أن محمداً عبده ورسوله اللهم اجعلني من التوابين واجعلني من المتطهرين إلا فتحت له أبواب الجنة الثمانية يدخل من أيها شاء )) رواه الترمذي

((Imetoka kwa 'Umar رضي الله عنه kwamba Mtume صلى الله عليه وسلم kasema: Hakuna katika mmoja wenu atakayetawadha akautengeneza wudhuu kikamilifu, kisha akasema : (Ash-hadu alla Ilaaha illa Allaah wahdahu laa shariyka LahuWa ash-hadu anna Muhammadan 'abduhu wa Rasuuluhu, Allahumma-j-'alniy minat Tawwabiyn waj'alniy minal-mutatwahiriyn) “Nakiri kwa moyo na kwa kauli kwamba hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Allaah peke Yake, wala Hana mshirika wake, na ninakiri kwamba Muhammad صلى الله عليه وسلم ni mja wake na ni Mtume wake” “Ee Allaah nijaalie niwe miongoni mwa wale wanaoomba msamaha, na nijaalie miongoni mwa wale waliosafi" isipokuwa atafunguliwa milango minane ya pepo aingie wowote autakao ))
At-Tirmidhiy
                   
           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 174


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-