Je mtu anaweza kushiriki mapenzi na mtu mwenye maambukizi ya ukimwi pasipo kuambukizwa?

Je mtu anaweza kushiriki mapenzi na mtu mwenye maambukizi ya ukimwi pasipo kuambukizwa?

Naomba kuuliza swaliJe mtu anaweza kushiriki mapenzi na mtu mwenye maambukizi ya ukimwi pasipo kuambukizwa?

Je mtu anaweza kushiriki mapenzi na mtu mwenye maambukizi ya ukimwi pasipo kuambukizwa?

Naomba kuuliza swali

Je mtu anaweza kushiriki mapenzi na mtu mwenye maambukizi ya ukimwi pasipo kuambukizwa?



Namba ya swali 057

Ndio



Namba ya swali 057

Kivipi?



Namba ya swali 057

Kama atatumia kinga vyema yaani kondom Kama hakutayokea kichubuko, wakati wa tendo. Kama muathirika ametumia ARV mapema ama kwa muda mrefu na ikafikia hatua vipimo havisomi HIV. Na sababu zinginezo



Namba ya swali 057

Kivipi michubuko isitokee?



Namba ya swali 057

Michubuko inaweza isitokee endapo uke ulijuwa na majimaji mengi, ama kunetumika vilainishi, ama staili iliyitumika kwenye tendo. Ama kama mume mkubwa kuliko mke



Namba ya swali 057

Asante kwa elimu



Namba ya swali 057

Karibu tena



Namba ya swali 057

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 2602

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
πŸ‘‰1 Bongolite - Game zone - Play free game     πŸ‘‰2 ai web app     πŸ‘‰3 Madrasa kiganjani     πŸ‘‰4 Kitabu cha Afya     πŸ‘‰5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     πŸ‘‰6 kitabu cha Simulizi    

Post zinazofanana:

Mate yanaweza kuambukiza ukimwi

Jibu ni hapana, matehayawezi kuambukiza HIV. Lakini swali unalotakiwa kulijibu je ni kwa nini mate hayaambukizi. Makala hii itakwend akukupa majibu haya

Soma Zaidi...
Namna ya kugundua mtu mwenye kaswende.

Post hii inahusu zaidi njia za kumgundua mgonjwa wa kaswende, njia hizi utumika baada ya kuongea na mgonjwa kuhusu maisha yake hasa kujamiiana na watu mbalimbali.

Soma Zaidi...
je kukohoa kunaweza kuwa ni dalili ya minyoo?

Dalili za minyoo zipo nyingi kama kuumwa na tumbo, tumbo kujaa gesi, uchovu, kukosa hamu ya kula, kupata choo chenye uteute na kupunguwa uzito. je kukohoa kunaweza kuwa ni dalili ya minyoo?

Soma Zaidi...
Dalili za ovulation kwa mwanamke

​Ovulation (kipindi cha upevu wa yai) ni hatua muhimu zaidi katika mzunguko wa hedhi wa mwanamke, hasa kwa wale wanaopanga kupata ujauzito au wanaotaka kuepuka mimba kwa njia za asili. Makala haya yanachambua dalili kuu zinazoonyesha mwili upo kwenye hatua hii, jinsi ya kuzitambua, na kuweka sawa baadhi ya dhana potofu kupitia ukweli wa kisayansi (Fact Check).

Soma Zaidi...
Dalili za Kisukari kwa Watu Wazima

Makala hii inaelezea dalili za ugonjwa wa kisukari kwa watu wazima, sababu zake na namna ya kujikinga.

Soma Zaidi...