picha

kupungua kwa kas kwa mwili na shingo kupungua unene na meno kutoboka ni dalili za HIV

kupungua kwa kas kwa mwili na shingo kupungua unene na meno kutoboka ni dalili za HIV

Habari Mimi kupungua kwa kas kwa mwili na shingo kupungua unene na pia naona niko na meno yalio tobolewa na meno hayo kwa maumivu yake yakanisababishia uvimbe kama jipo je nayo ni dalili za HIV



Namba ya swali 039

Je kuna shida yeyote ya kiafya inakupata tofauti na meno?



Namba ya swali 039

Pia dalili za maleria yani kichwa joto tumboni kama kujaa ges



Namba ya swali 039

Na bado sija enda kujicheki afya kwa kuujua uhakika



Namba ya swali 039

Ni nhumu kujuwa HIV bila vipimo, kupungua kwa uzito na kukonda inaweza kuwa daliki za UKIMWI ila sio kirahisi kiasi cha kutokea bola hata ya kuumwa na maradhi nyemelezi, ijapokuwa inaweza kutokea kwa baadhi ya watu. Hata hivyo shida kwenye neno onaweza kuwa dalili ya HIV ila nayo huwa ikiambatana na fangasi kwenye ulimi na madoa madoa ulokininna mdomoni n.k Ni vyema kupima kwanza



Namba ya swali 039

Bc nashkur kwa ushaur



Namba ya swali 039

Ok karibu tena



Namba ya swali 039

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: magonjwa Main: Afya File: Download PDF Views 1778

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    👉2 Simulizi za Hadithi Audio    👉3 Kitau cha Fiqh    👉4 web hosting    👉5 kitabu cha Simulizi    👉6 Kitabu cha Afya   

Post zinazofanana:

Dalili za ugonjwa wa UTI

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za ugonjwa wa UTI

Soma Zaidi...
Sasa UKIMWI unatokeaje?

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia ambazo UKIMWI hutokea

Soma Zaidi...
Dalili za Maambukizi kwenye mifupa

Posti hii inahusu zaidi dalili za Maambukizi kwenye mifupa, ni dalili ambazo ukionyesha kwa mtu mwenye Maambukizi kwenye mifupa.

Soma Zaidi...
Njia za kufanya ukiwa na tatizo la uti wa mgongo.

Posti hii inahusu zaidi Njia za kufanya Ili kupunguza maumivu ya tatizo la uti wa mgongo, ni njia unazopaswa kufanya pale unapokuwa na tatizo la uti wa Mgongo.

Soma Zaidi...
Sababu za mtu kuwa na mfadhaiko au wasiwasi

Post hii inahusu sababu za mtu kuwa na mfadhaiko na wasiwasi, mfadhaiko ni nguvu fulani anayoisikia ndani mwake kwa sababu ya tukio la kushutushwa linalomfanya afikilie sana,

Soma Zaidi...
Dalili za kuaribika kwa mishipa ya retina.

Posti hii inahusu zaidi Dalili ambazo ujitokeza kwa mtu ambaye ana tatizo kwenye mishipa ya retina,ni tatizo ambalo uwakumba wafu wengi wenye matatizo ya kisukari.

Soma Zaidi...
Namna ya kuzuia uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo.

Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo,ni njia ambazo mtu anaweza kutumia Ili kuzuia uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo.zifuatazo ni njia zinazoweza kutumika kama mtu amepata uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo.

Soma Zaidi...
Huduma kwa mtoto mwenye Maambukizi kwenye mifupa

Posti hii inahusu zaidi msaada kwa mtoto mwenye Maambukizi kwenye mifupa, ni huduma anayopewa mtoto mwenye Maambukizi kwenye mifupa.

Soma Zaidi...
Ni nini husababisha mate kujaa mdomoni, na ni yapi matibabu yake

Hapa tutaangalia baadhi ya sababu zinazopelekea mdomo kujaa mate na namna ya kutibu tatizo la kujaa kwa mate mdomoni

Soma Zaidi...