MADHARA YA MINYOO

MADHARA YA KIAFYA YANAYOHUSIANA NA MINYOO
Tofauti na madhara ambayo tumeyaona huko juu kwenye dalili kama maumivu ya kicha, tumbo na miwasho, kichefuchefu na kutapika. Lakini minyoo ikizidi madhara haya huwenda yakawa makubwa zaidi.

1.mgonjwa anaweza kutapika damu
2.Miwasho mikali kwenye puru na sehemu za siri kwa wanawake
3.Inaweza kuathiri ini na tishu nyingine
4.Inaweza kupelekea kupata ugonjwa wa anaemia
5.Uchpvu, kupungua uzito na homa