Ni vidonda vinavyotokea katika ukuta wa tumbo. Vidonda hivi tumezoea kuviita vidonda vya tumbo ila hapa nitataja kitaalamu kuwa vidonda hivi hufahamika kama peptic ulcers.
NINI VIDONDA VYA TUMBO?
Ni vidonda vinavyotokea katika ukuta wa tumbo. Vidonda hivi tumezoea kuviita vidonda vya tumbo ila hapa nitataja kitaalamu kuwa vidonda hivi hufahamika kama peptic ulcers.
Vidonda hivi hutokea kutokana na mashambulizi ya bakteria wanaoitwa Helicobacter pylori (H.pylori) au kulika kwa ukuta wa tumbo kutokanana na athari za tindikali zilizopo tumboni (stomach acids) kama vile tindikali ya hydrocloric yaani hydrocloric acid. Kwa wakati tulio nao hili ni tatizo la kawaida maana limewapata watu wengi na halisabababishi vifo vya watu wengi kama maaradhi ya saratani na kisukari.
AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO
Vidonda hivi vimegawanyika katika makundi makuu matatu ambayo ni:-
1.Gastric ulcers hivi hutokea ndani ya tumbo la chakula
2.Esophageal ulcers hivi hutokea ndani ya esophagus. Hii ni sehemu inayounganisha kati ya koo la chakula na tumbo la chakula.
3.Duodenal ulcers hivi hutokea kwenye sehemu ya juu ya utumbo mdogo inayoitwa duodenum
Vidonda vya tumbo ni pamoja na:
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili zilizopo katika matatizo ya ngono.
Soma Zaidi...Tijufunze zaidi kuhusu saratani ya koo. Vihatarishi vyake,dalili zake,tiba na lishe kwa mgonjwa mwenye saratani ya koo.
Soma Zaidi...posti hii inaonyesha dalili na Ishara kuu ya utasa wa kiume ni kutokuwa na uwezo kumpa mwanamke ujauzito. Kunaweza kuwa hakuna dalili nyingine dhahiri.
Soma Zaidi...Baada ya Nuhu(a.s) Mtume aliyemfuatia ni Nabii Hud(a.s). Hud(a.s) alitumwa na Mola wake kuwalingania kabila (taifa) la ‘Ad. Kabila la ‘Ad lilikuwa likijulikana kama ‘Ad-al-ram au ‘Ad-Ula. ‘Ad walikuwa wakiishi kusini ya Bara
Soma Zaidi...kuvimba kwa neva ya macho, fungu la nyuzi za neva ambazo hupitisha taarifa za kuona kutoka kwa jicho lako hadi kwenye ubongo wako. Maumivu na kupoteza maono kwa muda ni dalili za kawaida za kivimba kwa neva ya macho ambayo kitaalamu huitwa neuritis ya o
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha matatizo ya tezi dume zilizoshuka.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu ugonjwa wa Maambukizi kwenye mifupa, kwa hiyo tusipotibu tunaweza kupata madhara yafuatayo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuandaa mbegu za maparachichi ili kutumika kama dawa,kwa sababu ya kuwepo kwa tiba kutokana na mbegu hii ni vizuri kujua maandalizi.
Soma Zaidi...