Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Vichomi nazo ni dalili za ujauzito
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 581
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Ok shida yangu nikwamba nasikia maumivu makali tumbo la chini na mpaka kwenye mishipa ya korodani na kwenye nyonga pia kichwa kinauma
Mimi mke wangu anapata maumivu ya kichwa tuu na uke ni mkavu sana ninapo mwingia hata ni mwandae vipi
Asante samahan naomba kuuliza kama majimji takiwa yana Toka ukeni nayo pia ni ugonjwa
Nataka kuyua njinzi ya kulinda afya yangu
Mimi ni bety kutoka Arusha, nauliza je bamia unaweza kusaidia kutibuvidonda vya tumbo??
Maganda ya topetope nayo yanafaida gani na mbegu sake je naweza kusaga juice bila kutoa mbegu na makanda yake